Shona Mshono huu wa African Print utumie Duck Tape kama Kim Kardashian

Noamba nianze na LOL maana jana Kim Katutolea ya mwaka kufunga Sol tape jamani hizi fashion looh

12543235_1082719058446652_1723411561_n

Nikaona hiki kimshono kitaamu cha kitenge tena kifua kiko wazi flani hivi japo si sanaaa nkakumbuka na hiki kigauni waweza weka sol tape maana watu wanaonekana kupenda na kushangazwa na hii idea at the same time.

page

The dress ina cut out kwa pembeni picha ya chini utaona zaidi.Mshapea trick sasa nguo hizo kama una guts zivae usizipite tena .

12728428_1681909175389400_92107295_n

Ila the dress nyuma imeibwa so waweza tu vaa na Bra yako kawaida.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.