Soon zitaingia Sokoni The Rihanna X Puma Fenty Trainers

img_5959So baada ya a successful fashion show ya Rihanna akiwa na Puma kwa New york fashion week kama hukusoma ingia humu ,wamerelease picha za Trainers mpya from Puma and Rihanna collaboration zinazoitwa FENTY TRAINERS.

The trainers will be out in Februari 26 itakuwa ijumaa.Na zinakuja in 3 colors “Whiteout”, “Blackout”, and “Red Alert”.Wapenda sneakers kaeni mkao wa kula.img_5961

Red Alertimg_5960

Whiteoutimg_5958

Blackout.

The trainer looks comfy kwakweli kwa macho tu unaziona.But tusubiri feedback za wavaaji.

Mbali na trainers hizi Riri x Puma walishatoa creepers tulishazipost humu

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.