Spotted kwenye Runway za Victoria Secret 2017 Necklace za Shanga na Shuka za Kimasi

Am loving the way sasa hivi ma designer wengi wa nje wanaweka African touches kwenye designs zao,Victoria Secret Show ya 2017 nimeona vitu amazing na nimependa sana.

Kuna wings za shanga za  Kimasai na shuka pia.

Grace Bol alipendeza sana kwenye her second outfit

the beads were everything

Maria Borges

her butterfly wings

Amilna Estevao

Lais Ribeiro

Leomie Anderson

 

Cindy Bruna

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.