Style Crush :: OLAR

Olar ana that style ambayo ukiona hata picha zake tu unapenda,anapendeza anajulia mwili wake ,na anachanganya trend piece kwenye outfits zake japo si sana.

Binafsi i love her style ila zaidi ikiwa ni the way anavaa mabwanga yake aka Wide leg pants anayajulia sana ,nimegundua yanapendeza ukicheza na proportions bwanga linahitai top simpl ndogo ndogo/slim fit

check her style

you now know what i mean akivaa mabwanga ananikosha

slay away 

so cute 

Belted blazer

this is my favorite 

cropped jeans ,t shirt and kimono 

ankara /kitenge 

this dress is everything 

love love 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.