Style Mpya ya Kucha 2018 :: Key Nails

Kwa wale warembo wa kupenda kucha hizi ndo zaonekana  kwa sasa kuongelewa sana ,bado hazijawa popular kihivyo so may be tuzipe muda kidogo then zitakua all over the internet.

Tumeshaona kucha za aina nyingi na tumeshapost styles mbali mbali kama KUCHA ZA MATUNDA ,KUCHA ZA VITENGE ,KUCHA ZA SIKU YA HARUSI

Hizo ni baadhi tu ,ila leo tucheki hizi za funguo ,well me niliziona kwa huyu dada ana apage yake inaitwa da nail lady

zinavutia kwa kuangali tu ila zilivyo ndefu sijui unavaaje nguo dont get me started kwenye kwenda chooni maana mtafanya tusiwape mikono na mikucha yenu.

Hizi nafurahi tu kuziona ila duh mnaopenda kucha haya kahangaikeni nazo.Kingine napenda zinavyong’aaa ng’aaa

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.