Style Mpya ya Nyusi za Jacqueline Mengi ,Are We loving it or Not

Jacqueline Mengi hamna daubt kwamba we ni mrembo,we love you and tumeona your new brows routine kama imechange hivi.

On one of the pictures she post hii hapa chini ,akiwa with thick and dark brows

We would love to know your beauty thoughts on this one

Awe loving her na nyusi nene na nyeusi au zile nyembamba na brown flani hivi kama hapa

May be alikua ana jaribu new brow gel

Related Posts

Leave a Reply