Style Mpya ya Nywele ya Aika Navy Kenzo Yafananishwa na Dish ,Pata kujua Details zote

Well ukiwa msanii lazima ujue kubadili muonekano wako kila mara huwezi kua boring sababu utachosha mashabiki,na lazima kama msanii uwe tofauti kidogo na watu ambao sio wasanii either kwenye mavazi,hair styles,lifestyle kwa ujumla.

Aika alipost picha akiwa na style yake mpya ya nywele ambayo toka aipost mpaka sasa ana likes zaidi ya 23000 which sio kitu huwa anapata mara nyingi ,mashabiki wakiuliza maswali kibao pia kuhusu nywele hizo.

Watu wameifananisha hii style kama uyoga style,au dish style mwengine ngata,wengine fry pan majina ni endless.

But her hair do imetengenezwa na mkali wa haistyle na mkongwe wa siku nyingi sana wa mambo ya urembo makeup and hair REHEMA SAMO

Nywele hizi ni baadhi ya hair style ambazo Rehem ataonyesha kwenye her HAIR BOOK 2018,tutegemee kuona style nyingine nyingi zaidi.

Nimependa kwa Da Rehema anakuja na hair book yake ,ni kitu kizuri sana.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.