His and Hers Style ::Samiratha and Ibra

Leo tunashare nanyi style ya this adorable couple Samiratha na mumewe Ibra.Ni kwenye Maternity shoot walofanya wakitarajia mtoto wao wa pili.12783936_167104140342636_350486527_n

so for this look walienda ki casual zaidi ndani ya jeans ,white t shirt na Timbaland boots so cute 12383510_468537090008148_2059583359_n

with their daughter ,hii famili zaidi ya kupenda style yao nimependa madini mwee kila mtu ana ya kwake ya kutosha tu #teamhatuchovi
12818984_170960549954350_1508638641_n

another look Samiratha wore a bright pink dress na mumewe in a suit ,i love his velvet blazer na bow tie.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.