Styling OPEN ABAYA’S this Friday

Every Muslim girl need an Abaya its a must have ,tena siku hizi haya ambayo yako wazi ndo watu wanayapenda zaidi,unavaa a dress skirt,jumpsuit or jeans kwa ndani with a tee or top unarushia Abaya kwa juu ,ni muonekano wa fasta bila kutumia nguvu na utaonekana well put together.

Waweza ku belt kwa mkanda wake au mkanda wako mwenyewe pia,au use belt bags ambazo zipo in ,funny packs goes well pia.

Grey

Peach 

black and white 

blush of pink and white

i love this look ,will re create its one day

black and grey 

hiki ni kimono though

 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.