They Stylish Malia na Sasha Obama ,Wamekuwa Wadada

Binti Obama’s wamekuwa sana sana ,yani ni wadada now ,ukiangalia tangu baba yao achaguliwe Rais mpaka sasa utaona walivyokuwa ,kweli siku hazigandipage

Malia Obama
obama

Sasha Obama,she is only 14 ni warefu mno hawa watoto83576ed564f9cbb1_1-bcuMVicqoZJsfTttvWriogT5aRXd.xxxlarge

Ukiwa na mama stylish kama Michelle lazima na wewe utakuwa tu kama wasemavyo ukikaa na waridi nawe utanukia,Wakiwa kwa state Dinner Malia na Sasha walivaa vivazi toka kwa Naeem Khan .

Malia’s dress ni $17,990 inst this too much for a 17 year old girl??but they are the first family

wakati Sasha la kwake limecost $19,990page
8784f58460f664ff_1-ENWQbw-1STIhhUP3AGB3hwmGkkL4.xxxlarge

Dady’s girl

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.