SUPER MODEL AJAK DENG AACHANA NA U MODEL SABABU IKIWA ”LIES AND FAKE”

Ajak-Deng-by-Julia-Noni-for-Obsession-Magazine-1

So a successful Australian Model Ajak Deng ametangaza rasmi kuachana na Fashion Industry ,meaning hatofanya u model tena .Sababu kubwa ikiwa ni uongo na u fake mwingi kwenye industry.
landscape-1456354621-deng-lead

Model huyu alishakuwa tayari na jina na a successful Modeling carrier but she is throwing all away kwenda kuishi the life she deserve akiachana na fake na lies kwenye industry ya mitindo kama alivyodai.

Aliatangaza kuacha umodel kwenye instagram page yake untitled-article-1456287970-body-image-1456288156

Its so sad japo wengine wanablame kuwa decision ya Ajak ni sababu ya mambo ya racial but all in all i hope she find happiness that she seek.

Anaporidi Australia hategemei kuendelea na u model kule .ajak-deng-tian-yi-call-to-arms-archetype-5

love the shoes she is wearing .
flaviana-matata-and-deo-massawe-wedding-491

Huyu hapa AJAK alikuja kwa harusi ya Flaviana Matata .

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.