Swaga za Weusi (Machalii wa Ara)

Hip Hop Artist wanaounda kundi la Weusi wana style yao flani hivi sijui huwa hizi swag zao pia zinakuwa influenced na wanapotoka i mean Arusha .Maana mbali na kwenye nyimbo zao kuweka vidokezo vya Kichuga hata pia kwenye mavazi yao wanafanya the same.Style zao ni rock,hardcore,geek flani hivi mix of both.12093609_874276902688942_1916045557_n

Weusi wanavaa nguo ambazo ni nutral colors mara nyingi ,kuvaa nguo za colors kama red sijui yellow mara chache sana.Nimegundua kuwa wanamitupio mikali sana ya sneakers wanaopenda sana sneakers wanaitwa sneaker herds so naweza sema hawa ni sneaker herds.11202940_421466248055708_2086199695_n

T shirt na jeans ni signature style yao
11348151_1124679907544180_395111175_n

One thing pia wanachopenda ni leather moto jackets naona na Gnako kapiga animal prints.Ofcourse anatoka mkoa ambao mbuga za wanyama kibaaoo 12071001_1508463229473977_263081018_n

Style za stage ,ndani ya black ,timberland boots na fedora hats.Wanavaa trends lakini sio kihivyo 11917728_1494782930815979_1037023305_n

kama nawaona na makoti yao makubwaa,kichuga zaidi12338941_171433186542846_315323162_n

Kati ya Accessories pia wanazopenda ni capes ,wanavaa sana capes na hizi necklace zao,pia soksi ndefu ni swag yao pia.12080618_1715655028663215_388468312_n

speaking of geek styles hawa waliua na black and white.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.