TAASISI ISIYO YA KISERIKALI YA NKWAMIRA YAANDA HAFLA YA KUCHANGIA VITABU 2500 KWA SHULE ZA SEKONDARI NA ZA MSINGI JUMLA YA MILIONI 218 ZINAHITAJIKA

01 03

Mkurugenzi wa Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena  Seraphin Midana akisisitiza jambo kwa wandishi wa habari jijini Dar es Salaam, juu ya hafla ya kutafuta uwezo  wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 za msingi na Sekondari  za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena. Wapili kutoka kulia ni Mkurugenzi  Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen Mazalla,Afisa  Mkuu Ugawaji Rasmaiali wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) Mozes Nyirenda , Afisa Uhusiano wa NSSF Anna Nguzo, Meneja wa  Kampuni ya Dun &Bradstreet Credit Bureua ( T) LTD Adebowele Atobatele (Kushoto)

 

07

 

Mkurugenzi  Mkuu Mtendaji wa Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Nkwamira ,Noreen Mazalla akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani ) juu ya hafla ya kutafuta uwezo  wa Kununua Vitabu 2,500 vyenye thamani ya shilingi milioni 218, kwa ajili ya kusaidia shule 10 msingi na Sekondari  za Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.Hafla hiyo itafanyika usiku wa Oktoba 3 mwaka huu kwenye hoteli ya serena  katikati ni Mkurugenzi  Mauzo na Masoko wa Hoteli ya Serena  Seraphin Midana na Mkurugenzi wa Seaforth General Angencis Ltd Anver Rajpar (kulia)  kwa wale ambao hawatafika katika hafla hiyo wanaombwa kuchangia  mradi huo kupitia namba 777777 yenye jina la Nkwamira.

 

Related Posts

Leave a Reply