Tag: african prints

Beautiful Batik Shirt Dress By Katty Collection.

Katty collection wakali wa African prints, wana material zote utakazohitaji kwa ajili ya mishono yoyote, from vitenge, batik, wax, woodin material, lace na nyingine…

Read More

Mishono Latest kwa Wapenda Fashoon #220

Good Morning its Tuesday Well its Monday’s ugly sister ,at least we have Mishono One shoulder black dress with touches of kitenge with matching…

Read More

Mishono We are Loving this Week,Kudesa Inaruhusiwa #219

Its Tuesday ni Mishono day Karibu ucheki mishono latest kutoka kwa fashionistas mbalimbali love this off shoulder puff sleeved dress the dress and the…

Read More

Mishono Amazing kwa ajili ya Mama na Mwana #218

Raha sana mnapo amua ku switch twinning mode wewe na mwanao wa kike au wa kiume,its nice and the bond inakua sio ya nchi…

Read More

Wolper na Mshono wa Maxi Dress wenye Bonge ya Mpasuoooo

Jacqueline Wolper naye ameanzisha sijui nisema line au vipi ila anashona na yeye nguo ,mitindo tofauti tofauti leo tucheki mshono wa maxi dress yake…

Read More

MISHONO CLASSY KWA WAREMBO WANAOJUA MAANA YA KUA CLASSY #217

Mishono Classy kwa wadada Classy it’s as simple as that Love this peplum dress pink love  Yellow Mellow one shoulder dress Jumpsuit bell sleeved …

Read More

Look Book – Kiki’s Fashion new collection (Kiki’s 5th )

Qns.1 what inspired the collection Kiki::: Kiki’s 5th year Celebration has motivated and inspired me to come up with an idea of LookBook. The…

Read More

TURBAN GOALS

love this kitenge Turban inspirations for Ramadhan pia kwa wale watakaopenda

Read More

Fresh Ways to Style Maxi Skirts with Stylist JBolin

Stylist Jbolin ametoa a new fresh ways to style maxi skirts ,tena akiwa anafanya for plus size and normal sizes,we are loving Michelle Williams…

Read More

2 In 1 African Print Design Inspiration.

Be inspired by this 2 in 1 African print skirt. Unaweza kuivaa in an official way kama office wear bila the upper piece or…

Read More

Mshono Mkali Special kwa anaetaka kua Showstopper kama Elizabeth Michael

Huu mshono noma sanaaaaaa i mean huu Lulu unamfaa sana maana huwa anakua showstopper akitoka waonaje ???? ni gauni ya peplum yemye treni kwa…

Read More

First Week of May Work Wear Inspirations from Brenda Kinemo in African Prints

Hello MAY Ni wiki ya kwanza ya May ,leo tupo na our corporate chic of the week Brenda Kinemo This is how ameshon kitenge…

Read More

The Best Mshono of the Day

Huu ndo Mshono ambao umetumbamba kwa leo,ni mshono simple sana but una stand out wenyewe . Amemix Lace na kitmbaa cha kuchanganyia ambacho kime…

Read More

Tuesday Mishono day #213

Mwezi huo unakaribia kuisha,tuna mishono hapa ambayo iko stylish na kuna Vitenge,satin,lace etc ni wewe tu kupenda mshono kuudesa na kupeleka kwa fundi. OFF…

Read More

Mishono 15 Iliyoshonwa Sana Mwezi huu wa April #211

Tucheki Mishono ambayo kwa mwezi huu wa April imependwa sana na kushonwa pia ,mingi ikiwa ya mkono mmoja,mixed prints,bell sleeves etc. Mishono yenyewe ni…

Read More

Lavido Rocks A Batiki Skater Skirt fro Bijoux trendy

Lavido anatukumbusha kwamba Batiki sio boring wala ya kuvaliwa na watu wazima pia,waweza shona chochote kwenye Batiki na kikawa fashionable and stylish The skirt…

Read More

Desa This Amaizng Mixed Print Outfit

right now the fashion world is all about ruffles,asymmetrical,bell sleeves and more of this styles Blogger Nini wore this amazing outfit ambayo ina feature…

Read More