All posts tagged in: celebs

52 Views

BEST CLUTCHES AT THE GOLDEN GLOBE 2016

Am sure mshaona picha kibaaooo za celebs red carpet kwenye Golden Globe but focus leo ipo kwenye evening bags walizotokelezea nao kwenye red carpet.Sio bags tu hata hand candies/accesories zao pia .ZENDAYA COLEMAN MARCHESA LILY CRYSTAL CLUTCH LOVE ...

58 Views

RED CARPET ::2016 PEOPLE’S CHOICE AWARDS

Mwaka 2016 umeanza na Awards nazo zimeanza hizi ni People’s choice Awards,kulikuwa na lots of black ans shimmer. Favourite look of the night was from Priyanka Chopra who wowed sequined dress from ┬áVera Wang dress and cite Silver/Mettalic ...

63 Views

THE 2015 MTV VIDEO MUSIC AWARDS

MTV MUSIC AWARDS 2015 ilikick off siku jana na hili ndo red carpet. Fringe zipo sooooo in fashion kwa sasa Feathers alitoka nayo Rita Ora Kim nop nop sijaendaaa Favourite look Kwa wakaka nlivutiwa sana na muonekano wa Justin ...

40 Views

IS BEYONCE PREGNANT WITH BABY NO 2???

Mbali na ma paparazi wa majuu ku highlisht hii issue ya beyonce kuwa anaweza kuwa prego hata mie yaanza ingia akilini ,i mean kila siku anabeba pochi au laptop yake anaweka tumboni au kuficha tumbo na pochi,Kama picha ya juu hapo naona kashaanza ...

39 Views

TRENDING :SLICKED BACK HAIR

  Hair style inayo Trendy now ni hii ya kurudisha nywele nyuma ,its just a simple style ,wengine wanabana na chupio kwa huku penbeni ili zikae mkao zisiwe zinakera na kutoka maana kuzirudisha tu kwenye maskio haitoshi ili kuzi secure wabana na ...