All posts tagged in: DETAILS

36 Views

ANNABELLE JEWELRY WE LOVE

ACCESSORIES ARE THE ONE THAT ZINAKUSAIDIAA KU GLAM UP UR LOOK BILA HIZI A LOOK CAN BE BORING NI KAMA KACHUMBARI KWENYE PILAU IKIKOSEKANA HAINOGIIII. FASHION BLOGGER ANNA BELLE ANAPENDA ACCESSORIES ESPECIALLY THE FINGER RINGS THIS BAG CAUGHT MY EYES ...

26 Views

DETAILS

Kila siku nawa ambia details zinaplay role kubwa sana kwenye muonekano wako mzima wa oufit yako,zina add something extra ,something amazing ila zina ubaya wake uki over accessorize basi na muonekano unakuwa mchafu hunogi tena. Its always safe ku ...