Posts Tagged:

fashion

8020 Fashions Blog
fashion
A POP OF COLOR
May 22nd, 2015
HOW CUTE IS THIS OUTFIT JAMANI NIMEBAMBWA SANA NA HII JEANS MRARUKO.SOMETIMES THE ONLY THING U NEED IS A POP OF COLOR TO BRIGHTEN UP UR MOOD KAMA UKO DOWN
8020 Fashions Blog
8020FASHIONSSTYLE
FASHION TANZANIA:JINSI YA KUVAA VIJASTI/CROP TOPS
May 11th, 2015
CROP TOP ZIMEKUWA KWA FASHION MUDA NA ZIMPENDWA ILA WENGINE WANASHINDWA WAVAEJE MAANA WENGI KUACHA TUMBO NJE ITS NOT THEIR CUP OF TEA CHEKI HAPA MAY BE WAWEZA PATA NSPIRATION
8020 Fashions Blog
fashion
INAKUWAA:STYLISH MEN
April 28th, 2015
HAWA WAKAKA HANDDOWN KWA JEANS MIRARUKO YAO, NI SHEEDER FASHION TANZANIA
8020 Fashions Blog
designers
MJUE DESIGNER:OSCAR DE LA RENTA
November 20th, 2014
NI MAREHEMU OSCAR DE LA RENTA JINA LAKE KAMILI NI ÓSCAR ARISTIDES RENTA FIALLO,ALIZALIWA JULY 22 1932 NA KUFARIKI OCTOBER 2014. OSCAR ALIKUWA NI DOMINICAN AMERICAN DESIGNER. VIVAZI VYAKE NI MATATA
8020 Fashions Blog
fashion
KIM K VS KRISS
July 1st, 2014
KIM AMEKUWA AKILALAMIKA MAMAE ANACOPY MAVAZI YAKE NA STYLE YAKE.NA WATU WANAJIULIZA STYLIST WA KIM NDO HUYO HUYO WA MAMA YAKE AU VIPI.SI MLAUMU BIBI NORTH SANA ANAZIMIA STYLE YA
8020 Fashions Blog
EVENT
LUPITA NYONG’O
May 6th, 2014
  LUPITA NA HII EVENT AMESIKITISHA MAANA NGUO ILIKUWA HELL NOOO YANI SIO YEYE KABISA I GUESS THIS TIME SYLIST WAKE HAUKUKUNA KICHWA VIZURI. KIJINJA HAKIELEWEKI NA HICHO KIBANIO HAPO
8020 Fashions Blog
fashion
TOTO FASHION
March 5th, 2014
 MPATIE MTOTO MUONEKANO…  
8020 Fashions Blog
fashion
KINSHASA FASHION WEEK::FASHION SHOW DAY 1
August 2nd, 2013
MODEL  ALIYEKUWA FACE OF KINSHASA FASHION WEEK…NDO ALIFUNGUA PAZIA OKASOL NDIO ALOFUNGUA PAZIA VIVUYU ALIFUATIA DESIGNER KUTOKA TANZANIA ALIYESHIRIKI     PEACE MALLEN DESIGNER. YE YUKO ARUSHA NDIKO ANAKOFANYIA KAZI
8020 Fashions Blog
beauty boutique
ZURII FASHION & BEAUTY BOUTIQUE
June 30th, 2013
  ZuRii FASHION & BEAUTY BOUTIQUE PROVIDES AFFORDABLE, BEAUTIFUL, GOOD QUALITY, FASHIONABLE, BRAND, HANDBAGS, CLOTHES, SHOES & ACCESSORIES FOR KIDS & LADIES. MEN STUFF COMING SOON. CALL US +255 65
8020 Fashions Blog
fashion
INAKUWA
June 29th, 2013
Kwa sasa anafanya Fashion zaida,amelaunch saa  za ukweli ” Breitling”
8020 Fashions Blog
amina
HARUSI FASHION SHOW!!…..
June 28th, 2013
     HAYA WAHI TIKETI YAKO MAPEMAAA ,TIKETI ZINAPATIKANA EPIDOR (MASAKI ) NA AMINA DESIGN (QUALITY CENTER)                          
8020 Fashions Blog
bongo
HARUSI FASHION SHOW!!
June 19th, 2013
  ILE SHOW YA HARUSI YA KWANZA BONGO,HARUSI FASHION SHOW , NDO HABARI YA MUJINI KWA SASA,KWA WEWE MWENYE BIASHARA AU HUDUMA ZA HARUSI AMBAYE WATAKA SHIRIKI SHUGHULINI AU KUTANGAZA