All posts tagged in: FASHIONTANZANIA

55 Views

WALONOGA WIKI HII

Habari zenu Tumshukuru Mungu kuwa tumepiga kura salama na wa Tanzania tumeonyesha uzalendo hadi sasa wa kudumisha amani,tuendelee hivi hivi mpaka matokeo yatakapo tangazwa .Tuvumiliane siasa isituvunjie amani washindi wakitangazwa ...

281 Views

HIS & HERS STYLE::ALI KIBA AND JOKATE

Out and about Ali na Jojo stylist ni NOEL since walienda uwanjani for mpira casual looks were in order . Ali alitinga a skinny jeans mpauko flani hivi folded kwa chini kidogo,juu a loose t shirt ,Round fedora hat na chini loafer zina black and ...

94 Views

WALONOGA WIKI HII

Za asubuhi,Good morning,Bom dia,Bonjour ,Buongiorno,Goedemorgen hizi ni salam za mataifa mbalimbali but zote zikimaanisha Za asubuhi I hope sikukuu ilienda poa na all is good,ni J3 walonoga hewani twende zetu Lavidoz looking stunning love ur ...

136 Views

NEW POST ON LAVIDOS BLOG

NEW FASHION BLOGGER IN town amepost post mpya ya kivazi cha white akikiita WHITER THAN WHITE zama kwa www.lavidozstyle.com anashare nawe wapi anashop na nini kinamuinspire ye kuvaa hivyo…here we goo ...

94 Views

WALONOGA WIKI HII

Jocelyne ulinoga sana ,congrats on ur new chapter of life Love this casual look from Millen Maza looking lovely nice hair by the way #full kuwa mcharooo Idris  and Feza  Kessy ,Mzee wa Noti Rait kavishwa na Rio ze stylist Mgece cici in double ...

27 Views

OOTD :MGECE

Jeans /Denims shenanigans Perfect look for shopping  #fashionTanzania check her ni designer huyu  on instagram ...