All posts tagged in: featured

378 Views

Look and Learn how to Style #01

Kwenye instagram watu ni wengin sana na most ya influential people kwenye fashionindustry wamo humo,kuanzia designer,bloggers ,stylist etc So instagram imekuwa platform kwa fashionistaz kuonyesha mavazi yao,but wengi pia wakiwa wanatuhumiwa kuwa ...