Tag: HIJABISTA

Hijabista :: Maxi Skirt as Worn by Dalal

Moja ya vitu rahisi na pia essential kuwa navyo kama wewe ni hijabista ni Maxi skirt ,they are modesty and easy to style,but hata…

Read More

Modesty Hijabista of the Day :::Rabia YILDIZ & SEMİHA BEKTAŞ

Leo ni Al Jumaa tucheki different outfit ideas kutoka kwa modesty fashionistas around the world they are covered ila still Masha Allah wako stylish…

Read More

Hijabista Ameena Abdul

Hijabista Ameena Abdul ana killer style  love this yani ana deserve kuwa kwenye Vogue 

Read More

How Modesty Hijab Fashionistaz Style their Pleated Skirts for Mawlid Day

Looking for something simple to rock on Mawlid day??well here are how hijabis rocks their pleated skirt,ziko on trend right now ,they are so…

Read More

First hijab-wearing Barbie Inspired by Olympic fencer Ibtihaj Muhammad

Big mometns for Hijab wearing community baada ya kampuni inayotengeneza midoli ya barbie Mattel ku launch a hijab barbie doll ambayo imekua inspired na…

Read More

Hijabista :: Queen of Abaya Style

Ni Fariday zamani alikua model akijulikana kama Belina Mgeni,she is now a hijabista and anavaa vizuri Masha Allah stara imekolea . Nilichat nae kwenye…

Read More

Style Casual Looks Ideas During Ramadan

Ramadhan Maqbool Ijumaa Kareem Its FRIYAY Wengi wameuliza how do they go caual and still modesty kipindi hiki cha Ramadhan????Well nina few outfit ideas…

Read More

Missie Popular Hijab Style This Ramadan

Leo tupo na Mariam Ndaba aka Missiepopular tuna share her recent hijab styles kipindi hiki cha Ramadan hope she inspires you Look one its…

Read More

Ijumaa Kareem from these Hijabi Ladies

Ramadhan is coming and Insha Allah mungu atuwezeshe wote tuwe na funga njema,tumche Allah na uwe mwezi wetu wa kubadilika kabisa maana hatujui kama…

Read More

Ya Curvy Hijabista ::Muse Gold

Jina lake ni Miski Muse, anajulikana kama  @musegold huko Instagram,ni mrembo ambaye anaalipost instagram picha akiwa amevaa jeans ambayo imemfit kama mtakavomuona ni ana…

Read More

Fatima Siad by Rowan Papier for Nylon 2017

Miss turned model ,ni Hijabista ambaye alikua wa kwanza kuvaaa Hijab na kugombea u Miss Minnesota huko Marekani ,akapata gigi kwa Kanye West kwenye…

Read More

Friday Hijab Chic :Fardowsa Ahmed

Our first Hijabista for 2017 ni Fardwosa ,ana design Abaya akishirikana na dada yake. ana a very laid back ,simple and chic style for…

Read More

The Dazzling Anniesa Hasibuan Hijab Collection at NYFW

Anniesa Hasibuan is an Indonesian designer ambaye kwa mara ya kwanza aliweza ku showcases the first all hijabi show at New York Fashion Week,hii aliweka…

Read More

The not so Basic Hijabi Stylea by Nabiilabee

Nabiilabee is a Russian blogger ,stylist,fashion designer ,she also vlog I fell in love with her Turban styles /Hijabis Sio zile styles tulozoea sana…

Read More

Hijabista Fetema

Hijabista from Kuwait Fatema white and prints checks cape blazer  casual in jeans deraaall white bell sleeve pleated skirt  cullotes

Read More

Hijabista Maternity Styles with Ascia Akf

Ascia is a fashion blogger from Kuwait ,ni moja ya bloggers wenye mafanikio makubwa akiwa na over 1.9 Million followers,anasafiri sana kufanya collabo na…

Read More

How our two favorite Hijabistaz Style their Jeans and Maxi Skirts

Its Friday ,ni muda sijawawekea any Hijabista ,well hawa ni wapya leo Sobi Masood na Dina Tokio love their simple yet chic hijab styles…

Read More

This is How Hijab Fashionistaz Wear Sneakers

Casual friday leo tucheki how Hijabistas wanavaa sneakers zao waki paire na nini,mostly ni kama wewe tu ambaye huvai Hijab,Mara nyingi twavaa sneakers na…

Read More

Model Of the Day::Mariam Isack

Mariam Isack ni model and a Rapper nakumbuka high school tulikuwa tunamuita Mariam Hardcore since alikuwa bonge ya dismainda,she is until now ,But i…

Read More

Upgrade your Hijab to these Most Worn Hijab Styles

Most easiest,simplest hijab styles to try right now

Read More

Simple Hijab Tutorial For Ramadhan

Yes Ramadhan is here na i want share hizi video uweze ku update your hijab styling game iwe on point. We have youtuber Omaya…

Read More