All posts tagged in: Inakuwaa

41 Views

CHURCH FASHION OUTFIT IDEA

How dope is this look unapoamua kulidiss koti lako la suti give it a rest plz ,Just wear hiko kivest chake hata kama suti haikuwa na kivest wewe tafuta chochote ulichonacho si lazima kumatch waweza vaa pia na jeans . A perfect look for church as i ...

33 Views

WEEKEND IN BLAZERS

HII NI KWA WAKAKA WANAOPENDA BLAZERS NA WANAOZICHUKULIAGA POA BWANA HIZI ZITABADILI MWONEKANO WAKO KABISAA ,WAWEZA VAA FOR BUSINESS,WORK,CASUAL WEWE TU.WAWEZA KUWA NA YA BLACK NA GREY AU BROWN HIZI NI BASICS HIZI ZA COLORS NAZO NZURI . PAIR THE ...

95 Views

KING OF DISTRESSED JEANS :KANYE WEST

Kanye ni mvaaji mzuri wa distressed jeans na sio distressed jeans tu hata t shirt zake huwa zina matb ya risasi au zimechanwa basi kaazii mradi tu awe tofauti. Kama huu mshati umechanwa mikononi na kukunjwa but ni swaggger,Hizi sneakers ni yeye ...