Tag: kim kardashian (Page 3/3)

CAITLYN JENNER’S BIRTHDAY LUNCH

Shoga anatimiza miaka 66 ,issue sio birthday tu kwake ila issue ikiwa anatimiza miaka 66 akiwa transgender huu mwaka ukiwa special kwake akiwa anaishi…

Read More

KIM KARDASHIAN LOOK STUNNING IN A WHITE CAPE DRESS

Kim went to the InStyle Awards akiwa kavaa a white cape dress .Her hair zilibanwa nyuma with minimum accesories amabyo ni hiyo cheni tu….

Read More

POWER COUPLE KIM AND KANYE IN BLACK

Siku nyingi sijampost Kim K eehhh basi katokelezea sana jana na Kanye walitoka for dinner huko mitaa ya Beverly Hills akiwa katinga a pencil…

Read More

BABY NORTH LOOKS STYLISH IN A FRINGE LIL SKIRT

Wanamuita American baby Baby North West looks stylish in a fringe skirt ,boots na soksi and a lil black top ,hii familia tunaijua kwa…

Read More

HERE COME KANYE WEST AND HIS SWAG

Mwendo ni ule ule wa shati za kutoboka (bulletholes) watu wana diss styles za Kanye ila bado wanazivaaaa. Sweta la juu kachana mwenyewe limekuwa…

Read More

OUT AND ABOUT KANYE WEST WITH DAUGHTER NORTH

Naona wamembadili nywele North zilikuwaga nyeusi now she is rocking curly brown hair. Familia inayopenda ma tshirt mchaniko. Penelope nae alikuwepo Kim K kama…

Read More

KIM KARDASHIAN ATOA SABABU YA KWANINI ANAPENDA KUVAA LONG COATS

Wengi wanapenda styles za Kim but sometimes huwa  anachovaa hatuelewi pia but she know what she is doing,The way anavyo dress up her baby…

Read More

MMHH KIM KARDASHIAN NAANZA KUKUSHINDWA

Hapa ni style kwanza comfortability badae,i mean she look soo uncomfy na hiyo tshirt mraruko yake huku bongo inadekiwa majuu swag duh Fashion week…

Read More

KIM KARDASHIAN MATERNITY WEAR

This skirt hata kwenye Runway haijagusa ndo raha ya kuwa celeb na kuwa na marafiki na designers kama Ricardo Tisci unaweza kupewa nguo ya collection…

Read More

MODEL :::KENDALL JENNER

Kendal Jenner out and about na a monocrome look love her croptop cute Legs for days unapogeuza streets kuwa ur runway Kendall alitoka na…

Read More

STYLISH BABY NORTH WEST DRESSES LIKE HER DADY KANYE WEST

North kapendeza ,she looks stylish naona wanamvisha swagga kama za baba yake . Hizi fashion ni shigdaa nyie mkikazana kuwavisha wakwenu vigauni vizzuri vya…

Read More

STYLE UPDATES::ZAMA KUMUONA CELEB ANAE MUINSPIRE CAITLYN JENNER

Caitlyn Jenner anakuwa inspired sana na ANGELINE JOLIE kiasi amekuwa akicopy baadi ya vivazi toka kwake ,pia Caitlyn alim hire stylist wa BRANGELINE (BRAD…

Read More

KIM KARDASHIAN WEST DONS IN ALL WHITE

This was a look Kim K wore kwenye Birthday party ya Beau mpya wa Khloe NBA star James Harden ilofanyika kwenye  yacht huko  Marina Del Rey,…

Read More

KIM K WEST RE-ROCKING THIS BALMAIN NECKLACE

Kinachovutia kwa Kim kwa sasa na vivazi vyake ni Aceesories that necklace is everything meeinn Kim anaweza kuwa 6 moths pregnant ila anavyopenda body…

Read More

KIM KARDASHIAN MATERNITY STYLES UPDATES

Kim Kardashiana na mwanae baby North kitaani Nothing is new bado duster coats zinaendelea na Body con dresses paired with ankle strap sandals. The…

Read More

MSHOPIE MWANAO THESE MIRRORED AVIATOR STYLE SUNGLASSES KAMA ZA NORTH WEST

How cute is baby North West??kapendeza mnoo na Ray Ban Aviators .Mama ake bado anaendelea na Maxi skirts zake na Duster coats kama kawa…

Read More

KIM KARDASHIAN WEST MATERNITY STYLE UPDATES

Kim ni mjamzito ila haimnyimi yeye kuendelea kuwa stylish na kupendeza mmeona mwenzenu hajajisusa eehhh, Ila  siku hizi ameamua kutoka na bold statement accessories…

Read More

MARTENITY STYLE UPDATES::KIM KARDASHIAN

Kim K kanifurahisha naona sasa kwakuwa yuko vacay basi kaona asikomae na Heels.Ila maxi dress kama kawa na baby bump Mash Allah imekuwaa. I…

Read More

MMH KIM KARDSHIAN HII TOO MUCH

Kim kagoma kabisa kuachaa vivazi vyake as the baby bump inakuwa ila hataki acha kubanwaa ,hii alivaa alipoenda kwa birthday ya Kylie . The…

Read More