Tag: kitenge

New Arrivals at Katty Collection ::: Mzigo wa Vitenge Umeingia

Katty collection wakali wa African prints, wana material zote utakazohitaji kwa ajili ya mishono yoyote, from vitenge, batik, wax, woodin material, lace na nyingine…

Read More

MCM :: Zulu Mkhathini

Our Man Crush Monday ni  Zulu ambaye ali slay kwenye Durban July Weekend akiwa kavaa kitenge/ankara in the bes modern way ,with two pieces…

Read More

Just Fab Ankara Shorts

kila siku tunaona skirts,suruali na magauni but wengi hamshoni shorts za vitenge,so when i saw this lady akiwa amevaa i was like this is…

Read More

The New It Skirt Fashion Girls Are Wearing

Hii skirt wameipa jina la color blocking skirt,inavaliwa sana huko Ghana ,fashion lovers wameipenda,iko tofauti kidogo na skirt tulozoea ni something fresh. Wanaishona kwa…

Read More

Fab Styles waweza kutokelezea kwa kutumia kitenge

Hello Ramadan Kareem Karibu kwenye segment ya Mishono,today nakuletea njia mbalimbali ambazo waweza kutumia kitenge kutoka kotofauti kidogo. kushona belt ya kitenge kama hii,unaweza…

Read More

Mishono :: Nhlanhla Nciza is a True Modern African Woman

Nhlanhla Nciza bado anaendelea kutukosha na mishono yake kutoka kwenye label yake ya Nn Vintage,the south African Famous Singer kutoka kwenye kundi la Mafikizolo…

Read More

Mishono #277 :: Never a Dull Fashion Moment with Nhlanhla Nciza

Nhlanhla Nciza amesha prove to us kwamba simplicity is not for her ,the South African star always slays with her exaggerated , outfits especially…

Read More

ISHONO #276 :WCB WANOGA NA VITENGE KWENYE UZINDUZI WA WATAKUBALI BY MBOSSO

Kwenye uzinduzi wa Watakubali by Mbosso ilofanyika jana and we are loving WCB walivaa vitenge ndo mambo tena ya kuproote biashara za familia. They…

Read More

Skirt or Trousers???

Mshono upi umekuvutia???Wa skirt au suruali trumpet sleeves with skirt  or with trousers

Read More

This Kamshono though

japo Mishono huwa tunapost jumanne kwakweli i couldn’t wait hadi kesho ku post this ka dress such a perfect dress for wedding guest  mixed…

Read More

Let’s Wear Kitenge for Work This Week

We are dedicating this week kwa corporate chicas kuvaa vitenge iwe skirt,top ,blazer ,dress you name it mradi tu iwe appropriate for work. power…

Read More

Mshono ::: How to style Kitenge wide leg Trousers

Kwenye mshono leo tucheki suruali bwanga za kitenge /vitenge au khanga.Wide leg trousers ni moja ya trends za mwaka huu 2017 ziko everywhere so…

Read More

Mishono ::For their Engagement Party Couple Hii ilishona huu muonekano amazing #247

Tuesday ni mwendo wa Mishono tu ,and we are crushing on this couple’s choice of the outfit kwenye engagement party yao,so creative and we…

Read More

Nigerian Singer Waje Flaunts her African Print Look like its no one’s business

We love African prints,Kitenge,Ankara ina majina kibao. Now we love kitenge even more kama the prints and colors are bold and unique,this is exactly…

Read More

Mshono Amazing wa top ya Kitenge

Wooow When i saw this top i was like OMG,this is the Eish i mean this top is just too stylish,versatile too waweza vaa…

Read More

Mishono Amazing ya Kitenge For Casual looks #228

Si lazima ushone kitenge sababu ya harusi kama mwalikwa au kazini,waweza shona vimshono kibao kwa kutumia hata kitenge kimoja special kwa ajili ya casual…

Read More

Ka Mshono Amazing !

Kamshono amazing sana haka Kamshono Amazing sana haka kwenye video napenda zinavyo sparkle Olowogbogboro!!! Jesus Ome ihe ukwu!!! The Alpha & the Omega!!! The…

Read More

That Power Suit with Touches of Kitenge

Rich Factory just designed this Mulenga Suit it has two pieces a Satin wide leg pants na over sized kitenge Blazer  love it Sasa…

Read More

First Week of May Work Wear Inspirations from Brenda Kinemo in African Prints

Hello MAY Ni wiki ya kwanza ya May ,leo tupo na our corporate chic of the week Brenda Kinemo This is how ameshon kitenge…

Read More

Style your Kitenge Off shoulder Dress with a button up shirt Underneath

Yeah it’s time to upgrade your style Off shoulder dress are so fun to style ,waweza vaa yenyewe au uka style na shati kwa…

Read More

Mshono::: RC Makala ndani ya shati la Kitenge

RC Makala amenifurahisha ame rock shati la kitenge matata sana. Anaonekana maridani kavaa na suruali nyeusi kamalizia na sunglases PERFECT . mkiona huko wanaume…

Read More