All posts tagged in: kutoka majuu

52 Views

BEST CLUTCHES AT THE GOLDEN GLOBE 2016

Am sure mshaona picha kibaaooo za celebs red carpet kwenye Golden Globe but focus leo ipo kwenye evening bags walizotokelezea nao kwenye red carpet.Sio bags tu hata hand candies/accesories zao pia .ZENDAYA COLEMAN MARCHESA LILY CRYSTAL CLUTCH LOVE ...

35 Views

The 2nd Annual Diamond Ball

Rihanna amekuwa aki host hii Diamond Ball for the second time sasa ,ni charity thing inayo support Clara Lionel Foundation ambayo ilianzishwa in honor of her grandparents Clara and Lionel Brathwite,ina focus kusaidia Hospital huko kwao Barbados ...