All posts tagged in: Mens Fashion

65 Views

African Print Kizibao for Men

Huwa naona Ma sheikh wengi wanavaa sana hivi vizibao akiwemo baba yangu ,hawezi vaa Kanzu bila hiki kizibao,ila bwana sijawahi ona cha African Print na nilipo ona hiki cha Mkurugenzi wa NIDA nilikipenda sana sana .Kitenge kizuri,cut nzuri kimemfit ...

49 Views

Bdozen on how he styles his white kicks

Bdozen moja ya watangazaji mahiri na wenye mashabiki wengi,mbali na kuwa ana line ya born to shine every day akiwa anatengeneza t shirt na capes,pia ni mvaaji mzuri,japo huwa hapanii anaenda simple na t shirt na jeans au shirt na jeans occasionally ...