Aliemshonea huyu baba Mungu anamuona
108 0

Kupatwa kwa Mshono Najaribu kuwaza what happened alipenda huu mshono,alivaa bluazi ya mkewe au sielewi

I JUST CAN’T
73 0

#DEAD Nilipo ona hii picha nilikuwa tu speechless i mean where do i start well by Laughing???au kwa kusikitika???you decide Alomshonea huyu dada weaving lake nauzi wa neon Mungu anakuona in 3D

TRENDING::::MUNGU ANAMUONA IN 3D ALIYEMCHAGULIA HII NGUO
98 0

Seriously?????? Naona hii picha  ndo ina trend kwa sasa hivi ,huyu bibi harusi hadi namuonea hurumaa ,Why did she do this to herseld jamani,nawaza gauni ilikuwa ya mdogo wake???ku  save matumizi akaona na yeye aivaeee??? Ila Mungu anamuona tena in 3D aliyemchagulia mwenzake hii nguo  Gody is watching you in Nigerian people’s voice

Mhhhhh Huwezi amini mgauni huu alovaa Riri ni Dolla 1195 ,Seriously Riri???????
54 0

Riri ana style yake unique na huwa we sometimes love it but siku nyingine she is just too much ,mwisho wa siku ni star na hiki ndo kinamfanya awe unique na style yake. she was spotted kwa Airport akiwa kavaa this Vetements Hooded Wrap-Detail Sweatshirt Dress,yes its a hoodie dress.Na the dress is being sold at

MMHHHH
45 0

HII LACE INGEZIBWA TU KOTE IMEFANYA THIS DRESS LIWE MMHH HALIJAKAA VIZURI

MMHHHH
40 0

HII NI SHEEDER KUNA MWANDISHI KAKOMENT KWA KEJELI KUWA ATLEAST THEY CANT SEE HATERS