All posts tagged in: MISHONO

307 Views

Mishono on Weekends

Weekend ndefu inaendelea leo Jumamosi,kesho Pasaka na Monday pia ni sikukuu whooop!!!!!!! when you and your bestie mnanunua kitenge sare na kushona hii nishafanya sana love this ila bila peplum mother and daughter  wrap up top  pencil dress ...

54 Views

Desa This Amaizng Mixed Print Outfit

right now the fashion world is all about ruffles,asymmetrical,bell sleeves and more of this styles Blogger Nini wore this amazing outfit ambayo ina feature two different ankara prints ambayo zote amazishonea kwenye hii outfit halafu effect yake ...

105 Views

Weekend Mishono for perfect for April Wedding

Mishono amazing kwa ajili ya harusi za mwezi April nawakumbusha tu kuwa tarehe 1 mwezi wa 4 ni FOOLS DAY muwe makini love this dress Toke Makinwa is just too chic lace and satin off shoulder jumpsuit  floral love  love this peplum top kitenge ...