Tag: mitindo

Ukundi “3 in 1” dress available at KATTY Collection

Katty collection wakali wa African prints, wana material zote utakazohitaji kwa ajili ya mishono yoyote, from vitenge, batik, wax, woodin material, lace na nyingine…

Read More

Star wa Empire Taraji P.Henson Avaa Khanga akiwa South Africa

We love Khanga even zaidi kumuona Taraji akiwa kavaa kigauni amazing cha khanga

Read More

Mishono ya Christmas 2018

Christmas hiyo jamani so kwa wale ambao mtakesha na mafundi wenu washone nguo siku hizi chache zilo baki good luck na enjoy Mishono.Love this…

Read More

Mshono ::Pata Mshono wa Da Shamim kutoka Katty Collection

Looking for a simple mshono??Well huu wa Da Zeze unakufaa uko simple na very modern ,batiki kama tumeisahau hivi tumekomaa na vitenge,Ikishonwa vizuri na…

Read More

Mishono ya Christmas #03

Mishono ya Christmas series inaendelea ,leo tuna mix za lace,vitenge ,jojet ect kama wataka mshono wa kutokea hapa utaipata,mambo ya ubarikio ,dinner date au…

Read More

MISHONO KONKI SANAA HIIII

Good Morning Issa Choose day,tucheki Mishono konki hatariii kwa ajili yako,waweza comment chini mshono upi umekumbamba na unaweza kuudesa ukashonewa na fundi wako. Mshoni…

Read More

Vimshono mbalimbali vya Warembo wa Bongo toka Weekend

Issa Choose day na tunachagua Mishono toka kwa warembo wetu wa hapa hapa Bongo,tuwapumzishe kidogo wa naija . Vimshono mshono vizuri vya kudesa unavipata…

Read More

JIDAMSHISHE NA MISHONO

Mishono ya leo very hot ,from mettalics,to lace to vitenge ,wewe tu uanchagua kipi unapenda ,una desa waenda kudamshi nacho. OMG  Yellow baby melanin…

Read More

Hii Mishono Jikaze tu si Kwa Ubaya

Morning leo tuna dedicate WCW kwa wanawake wote wanapeenda mishono,na wana shona pia nguo.Kama we ni mdau wa siku zote karibu,kama ndo first time…

Read More

Mshono :: Emerald Goddess

This Look is beyond amazing ,indeed a goddess,love the mix ya hii floral train belt  hapa na hii jumpsuit ,she pooled this look so…

Read More

WALE WA KUDAMSHI DESA MISHONO YA BAG PARTY

BADO BAG PARTY YA AOUN INAENDELEA KUTAMBA ,WATU WALIVYODAMSHI HATARI SANA ,NIKAONA NIWALETEE NA MISHONO MINGINE KIBAO HAKIKISHA BAG PARTY AU SEND OFF INAYOFATA…

Read More

Mishono 17 Mikali Kama Yote

Mishono day sababu it Friyay Una kitenge au kitambaa au sare unatafuta Mishono,well scroll chii uchague wakwako uka damshi. Mama Samira Bawumia  Royal Blue…

Read More

Mishono ya Vitenge Kama Yote

Leo tunakuja na style tofauti tofauti za Mishono,kunamichache ile ya miburuzo kwa wale wa Sendoff  na ofisini hata wale guest kwenye harusi off shoulders…

Read More

Mishono::: The Perfect Mishono for your Send off /Kitchen Party

Looking to slay kwenye kitchen Party yako na Send Off party ???well we got you covered ambapo tunakuletea Mishono amazing sana ambayo itakufaa kwenye…

Read More

New Arrivals at Katty Collection:: Get Vikoi,Mashati ya Kiume,Dresses,Clutches za Vitenge

Katty collection wakali wa African prints, wana material zote utakazohitaji kwa ajili ya mishono yoyote, from vitenge, batik, wax, woodin material, lace na nyingine…

Read More

Mishono ya Send off,Wageni Waalikwa ,Engagement Party na Casual

Issa Choose Day na sisi tuna choose Mishono ,nakuletea mishono kibwena ,kila mtu hapa atapata wa kwakwe ambao anauhitaji. Huu ni perfect kwa sendoff…

Read More

MISHONO FIT FOR A QUEEN

Morning Mishono Tuesday Leo nime arrange kwa colors pia  yellow  Millen amenogaa love hii mix ya kitenge na satin another yellow peplum dress umbrella…

Read More

Tumependa Sharon alivyo Mix Kitenge na Sequin

Mshono tuesday nimeona nikuletee huu wa Sharon ambao well she pulled it off so well ,with a smile on her face ka mix kitenge…

Read More

Mishono :: This can be your Sare

Amazing Mishono ya color ya blue ,love love it ,color inavutia pamoja na mishono pia. slits for days  fringes  baby got back this jumpsuti

Read More

Just Fab Ankara Shorts

kila siku tunaona skirts,suruali na magauni but wengi hamshoni shorts za vitenge,so when i saw this lady akiwa amevaa i was like this is…

Read More

Mkali wa Mishono :: Angel Obasi

Hello So kwenye hii segment tutawaletea pia wakali wa Mishono ,fashionistaz ambao wanavaa sana nguo za kushona especially vitenge ,lace,satin etc. Leo tuna mrembo…

Read More