All posts tagged in: MSHONO

261 Views

Tuesday Mishono day

Mwezi huo unakaribia kuisha,tuna mishono hapa ambayo iko stylish na kuna Vitenge,satin,lace etc ni wewe tu kupenda mshono kuudesa na kupeleka kwa fundi. OFF SHOULDER  SHIRT DRESS LOVE THE CUT OUT  SILVER LOVE  SEQUINS ...

70 Views

This Dress Though !!!!

i had to find pictures for this dress again japo jana nililipost kwenye zile Awards za Ghana  Selorm Galley aka Selly alipendeza sana on Ghana Movie Awards na the dress ni toka kwa her favorite designer Simabrew. The dress kwa juu kuna sheer and ...