All posts tagged in: Naturalista

3091 Views

NATURAL HAIR STYLE: 7 DAYS 7STYLES

HAYA KWA WALE WENZETU MANATURALISTAZ PATA STYLE HIZI ZA WIKI NZIMA ZA NYWELE ZAKO.SAA NYINGINE UNACHOKA KUSTYLE STYLE MOJA TU SO TUMEWALETEA STYLE TOFAUTI UTAKAZOWEZA KUSTYLE KWA SIKU SABA. SIKU YA KWANZA NI KUCHANA TU KAWAIDA UKISHAOSHA NA KUPAKA ...

76 Views

Naturalista of the Day ::Danai Gurira

Danai Gurira ni mmarekani alietoka  Zimbabwe,na ni muigizaji,mwenye umri wa miaka 38 yes don’t let her simple figure fool you kaenda age but well they say Age is nothing but a number . Anafahamika sana kwa role yake ya Michonne kwenye  The ...

69 Views

NATURALISTA::ESTER STOECKLIN

Easter Stoecklin ni a working Wife and mother of two,leo tuna share her natural hair styles ,na anajitahidi sana kuongezea hair accessories to keep her hair more pretty and staying cute. #Teamnaturalhair  The Afro  Cute hair accessories  High ...

121 Views

Jinsi ya Ku Accessorize Natural Hair

Wale wenye TWA Teeny Weeny Afro kuna njia nyingi za ku accessorize natural hair zako,sio lazima ziwe ndefu za kubana basi ndo uweze ku accessorize hata zikiwa fupi tu basi waweza tumia vibanio vile viko so cute kuweza kuzi accessorize. Vlogger ...