All posts tagged in: nitoke vipi

53 Views

Saturday Night Styles With Kristin

For the night styles since ni Saturday night tupo na fashionista with curves Kristin ana a very good sense of style,na holidays zinakarabia waweza basi pata hata inspo on what to wear on friday night kutegemea tu waenda wapi sequins high ...

59 Views

Khloe Kardashian anakuja na Denim Line

Khloe Kardashian mbali na kuwa amekuwa kwenye headlines sababu ya kuwa na mahusiano mapya na mchezi kikapu Tristan Thompson sasa anakuja na denim line yake . So alikuwa huko NYC ku promote her new line ambayo itakuwa launched soon na ame focus kwa ...