Naibu Waziri wa fedha aitaka UTT MFI kufika vijijini
44 0

NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, ameitaka Taasisi ya Utoaji mikopo na huduma za kifedha ya ‘UTT Microfinance’ kuandaa mpango mkakati wa kuwafikia wakulima vijijini na kuwapa mikopo itakayowasaidia kuzalisha mazao kwa wingi. Akizungumza jana kwenye hafla fupi ya kuzindua rasmi bodi ya wakurugenzi ya Taasisi hiyo, Kijaji, alisema Tanzania ya viwanda

WEKEZA BILA STRESS NA UTT
64 0

leo niko na habarii njema kwenu kuhusiana na #UTT #uwekezajiusionastress kwa kuwajali wameandaa Darsa kama sio semina fupi yakuzungumzia uwekezaji wa vipande . Katika zama hizi wanataka uwekeze kwa sehemu yenye uhakika na sasa watakupa elimu wao wenyewe njoo usikilize na uuliZe maswali yooote na ujiridhishe Kwa wastaafu/ wajasiriamali/ wanafunzi na hata watoto . Tarehe

UTT-PID YATEMEBELEWA NA MKURUGENZI WA MIPANGOWIZARA YA FEDHA JIJINI DAR ES SALAAM
46 0

 Afisa Mtenaji Mkuu wa Taasisi ya Serikali ya Miradi na Manedeleo ya Miundombinu UTT-PID, Dkt. Gration  Kamugisha (kulia), akimkaribisha Mkurugenzi wa Mipango, kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Richard Mkumbo, wakati mkurugenzi huyo na tmu yake walipotembelea taasisi hiyo jijini Dar es Salaam jana, kwa lengo la kujua maendeleo ya taasisi na changamoto wanazokabiliana nazo