3 Accessories Used By  Diamond Platnumz to Pimp this Look By the Speshoz
100 2

one thing i have learned toka kwa Diamond ni kuwa he makes sure he always accessorizes his looks ,mfani utakuwa this recent look from the speshoz. kwanza i wish i had a full look but i will work with what i have and hopeful you will get my point. Now this khaki two piece is

Louis Vuitton Waja na Accessory za Summer 2016 Zenye Prints ,Checki na Bei Zake
54 0

Louis Vuitton wametoa collection mpya ya Handbags,clutches ,Sunglasses zenye full of prints,kimsingi collection ina prints za kuvutia sana ,ni zile bags zinazo make statement zenyewe ,so pretty . Its good kwamba LV wameamua ku brighten up things za hizi accessories zenye prints maana tulozoea ile brown color yao ya miaka na miaka. MONOGRAM JUNGLE SQUARE

CUTE HIJAB ACCESSORIES
74 0

Kwa wale wa Hijab najua mnapenda sana vibandiko na wengine mnapenda kuvivaa but hamjua kuwa vinavaliwa na hijab.But the good news is waweza vaa kwa juu kibandiko chako na hijab. How cute are these?? Feather kuna head necklaces OMG this one is gorgeous

DETAILS
46 0

  SHOP ZE ACCESSORIES

INSPIRATIONS: ACCESORIES/DETAILS
94 0

DETAILS
44 0