Tag: WALONOGA WIKI HII

Walonoga Wiki Hii

Good Morning,Asalam Aleykum Ramadan Kareem Kwa wale tunaofunga natumai chungu cha 12 kinaenda poa jamani siku zinaenda badi siku tatu tu tweze kuugawa mwezi…

Read More

WALONOGA WIKI HII

Good Morning Mother’s Day ilikua jana,i hope you all had a blast ,Mother’s are the best,ujumbe kwa Mama wote With that being said karibuni…

Read More

Walonoga Wiki Hii

Good Morning ,Ramadhan 2018 is loading inaweza kua 14 au 15 May so ni wiki ijayo basically tuna anza kufunga.Naomba wote tujaaliwae tuweze kufunga…

Read More

WALONOGA WIKI HII

Good Morning its a good Week to have a good week weekend mambo yalikua mengi Harusi ya ndugu wawili Ali Kiba na Abdu Kiba,Mechi…

Read More

Walonoga Wiki Hii

Hello Monday #IssaMondayMoneyday Poleni wote kwa Misiba Wikii hii imekua ngumu kwa wengi,Mwenyezi Mungu Hongera Idris Sultan this is major Idris amepata shavu la…

Read More

Walonoga Wiki Hii

Poleni kwa Mvua hope mpo salama ,kama mmepatwa na majanga ya Mafuriko poleni sana sana ,Hii mvua tuombe tu iacha kidogo maana imeshanyesha sana….

Read More

Walonoga Wiki Hii ::Monalisa kuwakilisha Tanzania nchini Ghana,Tuzo zaMalkia wa nguvu

Good Morning Happy Monday Money day Karibu kwenye Walonoga. Hongera sana Faiza kwa event nzuri ya Single Mothers ,pita kwenye instagram yake FaizaAlly Kusoma…

Read More

Walonoga Wiki Hii

Za Mchana???Leo ita has been crazy na hii mvua ,network kimeo ,mara umeme basi tafrani but here we are counting watu walonoga kwa wiki…

Read More

WALONOGA WIKI HII

Good Morning We have been MIA for a week but we are back at it Tuanza Monday na WALONOGA Jokate in a Kitenge peplum…

Read More

Walonoga Wiki Hii

Good Morning ,mmeamshwa salama eeeh ??? Hope your all well karibuni kwenye Walonoga Fifi sugar fire Happy belated birthday to Jaden Mtoto wa Ray…

Read More

WALONOGA WIKI HII

Issa Monday,karibuni kwenye Walonoga ,mitoko naona inazidi kua finyu kila siku. Ladies in white Swalha Msabaha wrote on her instagram page Different personalities, background…

Read More

WALONOGA WIKI HII

Siku zinakimbia sio mchezo Bado siku sita tu tule Christmas na siku 13 tumalize mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka 2018. Wadau wa Walonoga karibuni…

Read More

WALONOGA WIKI HII

Good morning,leo Dar kumekucha vizuri sana kuna ka baridi na kamvua mvua flani ,basi hali ya hewa ni shwari. Karibu kwenye Walonoga. Happy belated…

Read More

WALONOGA WIKI HII

Walonoga wiki hii ndo hii hapa,hope mta enjoy Herieth Paul kwenye Victoria Secret Show huko Shanghai China Natural hair brides are the prettiest Queening…

Read More

WALONOGA WIKI HII

Good Morning Leo kwa Dar Es Salaam pamekucha poa kabisa ,maana si kwa mvua ile ya weekend,Mikoni mmeamkaje???? Karibuni kwenye Walonoga Natural hair brides…

Read More

Walonoga Wiki Hii

Good Morning Issa Monslay hope ur all slaying wherever you are Hongera Da Sada ,nasubiri more pictures the dress was superb ,of course hata…

Read More

Walonoga Wiki Hii

Karibu Walonoga Mambo ni mengi yani huu ndo msemo mpya mujini incase hujajua. Bride huyu wa glammadam alijua kunoga sana ,tulishatoa picha zake but…

Read More

WALONOGA WIKI HII

#Isa Monslay How was your weekend??? karibu kwenye Walonoga Slay queens We are starting off with Jokate Mwegelo aka Jojo kwa ku slay on …

Read More

WALONOGA WIKI HII

ISSA NEW MONTH HELLO OCTOBER KARIBU KWENYE WALONOGA Hongera Lulu kwa kua balozi wa Sinema Zetu Film Festival Oct 2/2017…..Azam TV Kupitia Chaneli Ya…

Read More

WALONOGA WIKI HII

Walonoga wiki hii iko hewani,naona hii week haikua na mambo mengi kabisa Ukizingatia na mbunge Tindu Lissu kuwa mgonjwa basi pamepoa ,Tuendelee kumuombea apone…

Read More

WALONOGA WIKI HII

Its Monslay Karibu kwenye Walonoga ,hatukua tuna update blog karibu week sasa but now all is well ,Alhamdulillah kwa kila jambo. Rio Paul looking…

Read More