All posts tagged in: WALONOGA

59 Views

Walonoga Wiki Hii

Good Morning I can’t believe weekend imeisha na leo ni wiki nyingine, Msemo ulotisha na kutumika sana  kuliko yote weekend hii ni ‘‘NCHI INAVYOKWENDA KWA SASA NI HERI UKOSE DAMU KULIKO BANDO ”’ Nitoe ...

126 Views

WALONOGA WIKI HII

Katika kuhitimisha siku ya mwanamke duniani MAZNATBTIDAL imetoa support kwa EATV ili kufanikisha kuchangia na kuhamasisha jamii, wanawake, wajasiriamali katika zoezi ya kununua KIHIFADHI HEDHI/ PEDI ili kuokoa wanafunzi wakike katitka ...

164 Views

Walonoga Wiki Hii

Duh Jumatatu imeanza kwa mvua ,hii ni baraka ila kwa Dar kazi kweli kweli kipindi cha mvua ,foleni ndo inakuwa mara mbili. Wa Mikoani huko vipi zinanyesha???? Hongera kwa Jacqueline Mengi kwa kuandikwa kwenye jarida la Forbes ,juu ya kampuni yake ...

74 Views

WALONOGA WIKI HII

Good Morning May you all have a productive week Walonoga wiki hii ni hawa Nancy Sumari aliweza kuwa kwenye jopo la waongeaji huko Davos kwenye World Economic Forum 2017 ,Nancy we are so proud of you ,keep inspiring us #globalshapers  Julith Kabete ...

36 Views

WALONOGA WIKI HII

Good Morning welcome to Walonoga hope you love it as much as we d0 Congrats to Faraja Nyalandu Mkurugenzi na Founder wa shule direct Hii inaonyesha hard work pays Wamepata Innovation Awards for  Apps Africa  team ya Shule Direct  Rio on the ...

39 Views

WALONOGA WIKI HII

Good Morning Karibu kwenye Walonoga Yani hii week naona kama tunapumua from misiba na matukio mengine kibao. Hongereni kwa Wahitumu wote wa ngazi mbalimbali za elimu ya juu walohitimu weekend hii na wanaondelea kuhitimu kwa siku za karibuni Da ...

32 Views

WALONOGA WIKI HII

Happy sikukuu ya Wakulima. Kauli mbiu ya mwaka huu ni  KILIMO MIFUGO NA UVUVI NI NGUZO YA MAENDELEO, VIJANA SHIRIKI KIKAMILIFU “HAPA KAZI TU” Je unashiriki kwenye kilimo wewe kama kijana???? after that being said tucheki walonoga ...

23 Views

WALONOGA WIKI HII

Good Morning Its another week let’s get into Walonoga Hongera kwa Kajala kwa uzinduzi wa filamu yako ya Sikitu Nilipenda ulivyovaa sana ,simple na touches za African prints,umetoka out of your comfort zone ya magauni mburozo  Ranny look ...

14 Views

WALONOGA WIKI HII

Good Morning ,It’s a beautiful Monday kwangu siju kwenu ,at least the weather is Good. Let’s Get Walonoga Started ,Shall we . Biggest news kwa Weekend ilikuwa Naamka Tena concert ya Jide and she killed it ,such a Legend.Kwenye ...