Tag: weddings

Hongera Ali Kiba kwa Kufunga Ndoa ,Neno kutoka kwa Bwana Harusi

Ali Kiba kashafunga ndoa tayari tunampongeza sana  Wakielekea Ndoani Bwana Harusi anacheeeeekaaaa Ndoa rahaaa Bi harusi staraa 

Read More

The Bride Amekua Inspired by Solange Knowles but she made her Cape Wedding dress her own

It’s one thing kua inspired and the other ku copy ,huyu bride alikua inspired na gauni la Solange Knowles la harusi ntawakumbusha kwa picha…

Read More

Esé and Eric’s New Year’s Eve Wedding #EE2G17

Esé the founder of Esé Azénabor clothing company ni Mnigeria anaeishi Marekani ,she is amazing at her work alifunga ndo mwaka huu na Eric a real estate…

Read More

Ambwene Yesaya aka A.Y afunga ndoa #AywedsRemy

Mwanamuziki Ambwene Yesaya aka A.Y amefunga ndo na mpenzi wake wa miaka 9 Remy ambaye anatokea Rwanda,Msanii huyo alimvisha pete ya uchumba Bi Remy…

Read More

Fikayo & Chino’s Wedding #Fino17

Their love story How We Met By The Bride and Groom, Fikayo & Chino Fikayo: We met in 2012, at a friends party. He has some weird recollections of…

Read More

Hamisa Mobetto Anoga na gauni hili la Harusi

Hamisa is on top of her game right now ,anatumia hii fursa vizuri sana ,nimempenda,she is here with her 5 shades of Lipsticks na…

Read More

Harusi ya Kwanza kutumia Purple Kwenye harusi yao Baada ya kutangazwa kua rangi ya mwaka 2018

Nafikiri walikua hawajajua kua hii ndo rangi ya mwaka 2018 sababu imetangazwa alhamisi ilopita tu,lakini sometimes huwa coincedence za matukio ndo hizi . Hawa…

Read More

Wamjua GroomsLady ???

Mazoea hua sometimes yanaboa na kupotosha,imezoeleka sana kwamba wasiamizi wa bwana harusi huwa ni wanaume wakati wa bibi harusi wanakua wadada hence bridesmaids na…

Read More

Wedding Moments Zilizomake Headlines huko Instagram

Nina post ya New era brides ikiwa na category ya Showstoppingbrides huko na share anything bridal from hair ,dresses,makeup , decor,bridesmaids etc,humo utapata inspirations…

Read More

#The Fellas Wedding

Simple Wedding but walipendeza sana sana . mother daughter moments  when you know you married your best friend  squad

Read More

Gucci Mane and Keyshia Ka’oir’s $1.7 Millions White Wedding

Mnamjua Gucci Mane?? ni bonge ya rapper huko majuu and he is a big deal ,ali trend sana baada ya kutoka jela akawa ame…

Read More

Style Mpya ya Ku display Desert Kwenye Harusi #Dessert Wall,Cupcake wall and Dessert Cart

Wale watengenezaji cake and event planner step up your decor game up.Style hizi zilikuwepo but bongo watu hawafanyi sana ,so katika pita pita zangu…

Read More

Official Pictures za Harusi ya Zamaradi Mketema na Shabani

Mother of two na mtangazaji wa clouds fm kipindi cha Take One Zamaradi Mketema amefunga ndo weekend hii .Hongera sana Zamaradi ,tunakutakia yote yale…

Read More

Showstopping Brides #11

Back on our series on brides ambao they made sure kwamba they dress their best on their wedding day and they real looked stunning.It’s…

Read More

Onja Harusi ya Mtangazaji maarufu wa South Africa Minnie Dlamini

Juzi Tv Presenter kutoka South Africa  Minnie Dlamini  alifunga ndoa na love of her life Tv producer Quinton Jones.Harusi ilifungwa Cape Town, South Africa na…

Read More

Hyeladzira & Zira’s Spectacular Wedding

From the send off party to the white wedding Celebrating Zira today loved her dress HER DRESS CAKE WHITE WEDDING DETAILS  SHE WENT WITH…

Read More

Thuwein Weds Victoria Series from Bag Party,Bridal Shower , Sendoff party,Nikah and White Wedding

So it has been days for this wedding nimeona hadi comment mtu kasema when is this wedding inaisha maana it has been going on…

Read More

Biodun & Fola’s Gorgeous Wedding

How They Met from the groom, Fola I finished my first degree 6 years before I did my NYSC, it just wasn’t a priority…

Read More

Michelle and Devin’s Luxurious Fairytale Wedding

DETAILS CL  THE GIRLS   SO CUTE ON THE ISLE  RECEPTION DECOR CHEERS TO THE NEW MARRIED LIFE 

Read More

HEKIMA AND MARIAM’s WEDDING

  Venue ::Mlimani City Decor ::Tully Decor MC::Luvanda & Jokate catering ::Dorcas Makeup ::Laviemakeup Dressed ::beautPoint Wedding Planner ::8020fashions/Shamim Mwasha & Mama Hekima Pictures…

Read More

Best Wedding Dress of the Month:: Kyamirwa Dress worn by New Bride Hilda Nakajumo

Kyamirwa Tanzania based couture and master-tailoring brand,naona wanafanya kazi nzuri sana but hawapati air time ya kutosha,now tutawapa the air time needed maana ukipitia page…

Read More