Zoe Saldana looks Super Angelic in her all white ensemble and we are feeling it
56 0

Zoe Saldana amekuwa aki hit red carpet recently ikiwa ni kwenye premiers za movie yake mpya Live by night yenye mahadhi ya miaka ya 1920 huko. Huko LA hakutu dissapoint tunaopenda mitindo she looked super stylish in her white look ,her outfit ni toka kwa designer J.Mendel couture . Love the pearls effect on her