Take a Look at Channel’s Fall 2016 Handbags

Moja ya most loved bags kwa dunia hii ni zinazotoka Channel ,over the decades wamekuwa kati ya top company’s ambazo wame maintain sana quality ya bags zao na huwa watu hawazichoki na bei hazipunguagi kiasi cha kufanya kila mtu aweze ku afford 

under the creative director Karl Lagerfeld amekuja na new designs zile za zamani mmhh nimeona sijui moja ,sasa hivi matoleo ni mapya.Chanel-Fall-2016-Bags-16

kufunga kiunoni vepe???Chanel-Fall-2016-Bags-26

zingine ni kama jisweta tu limeshonwa wakaweka na chata ya channel hapo dola sijui 700Chanel-Fall-2016-Bags-29

leather zipoChanel-Fall-2016-Bags-15 Chanel-Fall-2016-Bags-13 Chanel-Fall-2016-Bags-11 Chanel-Fall-2016-Bags-21 Chanel-Fall-2016-Bags-25 Chanel-Fall-2016-Bags-9 Chanel-Fall-2016-Bags-6 Chanel-Fall-2016-Bags-5 Chanel-Fall-2016-Bags-8

hii ni moja ya bags kubwa Chanel-Fall-2016-Bags-4 Chanel-Fall-2016-Bags-30

mwendo wa jeans alijisemea Da Zeze hizi zilikuwa zauzwa bei chee sasa hivi zimerudi halaf hapo uniambie ntoe mamia ya madola NEHI KARUNGIII

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.