TANGAZO LA KUITISHA MKUTANO

Kamati ya maandalizi ya waliosoma Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kibosho inayo furaha kuwaalika wakina Mama na Dada wote ambao wamesoma shule hiyo enzi za uhai wa Sister/Mother Consolatha Shayo, katika kikao cha kuandaa re-union, kitakachowashirikisha wanafunzi wote waliosoma sekondari ya Wasichana Kibosho. Kikao hicho cha maandalizi kitafanyika siku ya jumamosi ya tarehe 02.04.2016, kuanzia saa kumi kamili alasiri katika Hotel ya Mikocheni Resort Centre (MRC), iliyopo nyuma ya Shoppers Plaza ya Mikocheni. Usikiapo taarifa hizi tafadhali mjulishe na mwingine. Karibuni wote tushikiriane.

IMG-20160318-WA0004

MUNGU IBARIKI SHULE YA KIBOSHO
KUJUA, KUPENDA, KUTENDA NDIO NGAO KUU, TUDUMISHE

Mawasiliano:

Anna Mihambo: 0784 291 094
Sauda Sinare: 0753 991 281
Magreth Adhero: 0713 248 192
Hanifa Kachicky Mponji: 0713 473 762
Caroline John Hans: 0718 802 332

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.