Tanzanian Model Abel Kipaso Ala shavu La U model kwa Kampuni ya Boss Models huko South Africa.

Its so good kuona Tanzania kila siku tunapanda na kupeperusha vyema bendera ya Tanzania huko nchi za watu,Sio kwenye mpira tu hata fashion Industry imekua sana na Models wetu wanapata deals kubwa .model

Kwenye page yake Abel Kipaso ame share the good news kuwa kapata contract huko kwa Madiba na ni dili la Modeling Agency ilom sign inayoitwa Boss Models S.A.

12724770_1681507068762944_874838019_nAlishare picha hii ikiwa na caption Officially signed by@bossmodelsa thanks God i made it..10413847_1718997681647581_712612561_n

Hata Martin kadinda amejivunia kuibua kipaji cha Abel na amempongeza huko insta ameandika ” Every Dream is Valid…. #TanzaniaModel Abel kipaso for @bossmodelsa Capetown ???? inanipa Faraja kuibua vipaji vya Kitanzania vyenye kukubalika katika macho Ya dunia… Allah Atie wepesi katika kila lijalo Mbele Yako…”

Congrats Abelkipaso.12534570_1072810272776573_768376357_nKwa SAFW ndani ya Martin Kadinda design.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.