#TBT :: Moro Sec na Pozi la Kris Kros

Leo da Shamim katupia TBT yake enzi hizo akiwa Moro Sec na pozi maarufu la Kris kros akiwakakumbushia Da Chaba.
RAP
#tbt
Hahahaha nakumbuka mpiga picha alikua anaitwa Msigwa ( hivi bado yuko huko morogoro mwambieni alijua kutufyekelea mbalii๐Ÿ˜Š) , alikua anakuja ana kofia zake iyo ya RAP na ingine iliandikwa DUDE maalum kwa kupigia picha , chakufurahisha sasa woote pozi ilo ilo na bila kusahau lile tunapozi tumeshika moyo ๐Ÿ™ˆ
.
Yaani kama ulisoma morosec na waishi hostel huna picha umevaa iyo kofia ulikua mlunywa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
@habibabrownskinny
@jamilashoko
@estherminja
@haikakimambo55
@kidsevents
@salma2k
@tuzye
Watagini watoto waย #morosex
Baadhi ya comments sasa

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.