The 4.5 M Shillings Watch Heel :: Giuseppe Zanotti X Christian Cowan Collab ,

Hello shoe lovers

Every one is talking abou the Watch heel ambayo ni collabo ya GZ na CC ambao walifanya hii creation kwa ajili ya New York Fashion Week.

Christian Cowan ni designer wa nguo na Giuseppe Zanotti ni master wa shoe Game amazing sana,wakaja kwa pamoja na WATCH HEEL,how creative of them??

Well ukizicheki haraka utaona ni strap heels za kawaida but when you check again wasema mbona rolex zavaliwa mguuni??

Inspiration nafikiri wametoa kwenye Rolex ambayo mkonini mkanda wake umewekwa kwa vidole na saa ikishikia kwenye kiwiko cha mguu.

Zanotti anauza hizi heels kwenye website yake kwa $1995 ambayo ni sawa na shillingi million 4,556,779

shoe game is too strong

Zilivyovaliwa on the runway

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.