The Amazing Hats from Royal Ascot 2018 :Day 2 & 3

Haya bado yale mashindano yanaendelea huko Uk na kila mtu akitokelezea ,the highlight of the day ni kuvaa vizuri na kuvaa kofia amazing.

Naoana kama wanashindana kwa kofia na huwa wanachagua the best dressed pia,si bure kila mtu anajikongoja na ku slay.

flowers

 

 

 

Tobaaa

Nani anamashine ya kukamulia alizeti??

mambo ya shamba

hii picha dah 

 

 

Unapoamua kubeba ndege

uma na kisu viko wapi,tambi na nyama ya kusaga

hizi mbawa unaweza paa zako

pink rose

 

 

bendera,uzalendo kwanza 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

looks heavy

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.