The Hit and Miss ya Fashion kutoka Red carpet ya Nyumba ya Amani by Wasafi Tv

Jana kulikua na Iftar pale makao makuu ya Wasafi Tv,na ilikua kwa mwaliko tu ndo ungeweza kwenda,#ilikua Nyumba ya Amani.

Wadau mbalimbali walikuwepo wasanii wa muziki,filamu,viongozi wa soka ,Media Personalities,viongozi wa dini nk.

Tucheki tu baadhi yao walivaa nini 

Ambaye alikua anawahoji alinoga haswaa na dish dash lake na kilemba cha gold

Diamond Platnumz alivalia kanzu white,khaki blazer na kilemba

Young D came for ,alinoga sana

alikua Ebuka wa jana 

Duller Makabila alitoka na white with a pop of red kwa turban yake  Aika Navy Kenzo came through na hili baibui lake amazing  Baba na Mama Gold 

Harmonize sababu ya color yako kanzu zinazokupendeza ni white,gold ,silver

let black be for others 

Manager’s 

Esma Platnumz na Petite man

Hamisa Mobetto dressed by ab_designs

Lulu Diva na Rich Mavoko

Bill Nas ,hivi vibarakashea sijaviona ,muda jamani

ni vintage hivi 

warembo

Sheikh Kipoozeo

Dr.Mwaka

picha ya pamoja

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.