The Kardashian Sisters Are Victoria Secret Angels for Halloween 2018

Kardashians Jenner sisters they just get a lot of the best things,sijui ni kujulikana kwao na kuwa na influence kubwa sababu kwa Haloween mwaka huu wamepewa nguo na Victoria secrets ambazo zinauzwa online na wamekua wa kwanza kuzivaa hata models bado hawaja vaa.

Wame damshy na lingeries zao za ghali pamoja na wings,tena Kourtney akiwashukuru kwamba wamemfanya kua model wa kwanza mfupi katika historia yao.She is 5’1 by the way.

Kourtney 

Khloe ,Kendall,Kylie, Kim and Kourtney

Kim ali tweet  “Thank you @VictoriasSecret for sending us actual runway looks and real wings to borrow for the night!!! OMG a dream come true! Got to be a Victoria Secret Angel for the night! & Kendall got good practice lol.”

Their back though 

what do you think???

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.