THE LAST WITCH HUNTER.

Wadau wa movies, have you seen this yet?? The last witch hunter, ameact Vin Diesel ambaye nafanikiwa kumuua witch anayeogopeka uko kwao, lakini kabla ya kufa anaachiwa curse ya kuishi milele , na kumtenganisha na mke na mtoto wake..angalia this short trailer uone uzuri wake na kisha itafute movie uicheki.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.