They Represent Beauty with Brain

Hii ni kwa wale wote wanaoamini kwenye beuty and brain sio beauty tu hapana we add more value to beauty by having brain ikimaanisha unakitu cha kufanya ,umesoma,unafanya biashara etc.Sio kuishia kuringia au kuishi tu kwa uzuri wako,ndo wale mkiulizwa what do you do for a living unasema Am beautiful chaa

Wakiwawahudhuriaji na wengine wasemaji kwenye #WomenAdvancingAfrica forum in Dar es Salaam,ambayo leo imengia siku ya pili .

Sophia Byanaku,Mama Alaska na Irene Kiwia

#WAAForum2017 #ChangingTheNarrative#WomenAdvancingAfrica

Dada kubwa alikuwepo Monfinance

This year, Tanzania has been selected to host the first annual #WAAForum2017. The Forum aims to help Africa achieve full economic & social prosperity by putting women at the forefront of setting the Africa’s development agenda and providing equal opportunities for them at all levels in society. #WomenAdvancingAfrica

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.