Thoughts on Actress Ivie Okujaye Rocking Sneakers on her Traditional and Church Wedding???

Acress Ivie Okujaye alivaa sneakers kwenye her traditional wedding na later on kwenye her reception.IVIE-OKUJAYE-SNEAKERS

This is her look on her traditional Wedding ,alivaa zake Asoebi nyekundu,kibaraka shee na sneakers .Sijui hakufunga kabisa kamba au alipiga hizi picha akiwa bado anajiandaaivie-3

Hapa ni kwene reception ,she rocked black and white sneakers with her wedding dress.I love this second look the fact kuwa the dress was short so inaonekana kama a casual look flani hivi,i bet sneakers made her dance the night away maana wengi huwa viatu virefu vinawashinda kuvaa siku nzima na ukweli vinachosha .

She was a simple bride

would you rock sneakers on ur wedding day???

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.