TUPENDEZE CLOTHING ::MITUMBA YA UKWELI

Tupendeze clothing wanawakaribisha jumamosi ya tarehe 6/9/2014 kupata mitumba safi kutoka Nairobi, USA na UK. Vitu vinavyopatikana ni suti za ofisini, skirt, magauni, mablouse, tops, pedo, na suruali. Bei zetu zinaanzia shilling elfu tano ( 5,000).

Tutafungua jumamosi ya tarehe 6/9/2014 kuanzia saa tatu asubuhi. Tunapatikana kinondoni Biafra/kanisani opposite ya kituo cha Biafra kuna barabara ya lami inayoingia Hombos kuelekea mwananyamala, hiyo barabara shuka nayo utakuta kanisa la TAG baada ya kanisa kuna barabara ya vumbi ya kwanza achana nayo, barabara inayofuata nyumba ya kwanza nyeupe hapo unakuwa umefika. ila pia ukifika biafra/kanisani unaweza piga simu 0758462257/ 784638160 mtu akaja kukufuata.

No. 1 No. 2 No. 3 No. 4 No. 5 No. 6 No. 7 No. 8

Related Posts

Leave a Reply