Types of Bags Every Woman Should Own

Ni accesory muhimu sana kwa wanawake ,na wengi wanabeba bags kila mtu akijitahidi kwenda na trends za handbags.

Inawezekana unazo kibao ila hizi ni guides za handbags unazohitaji wewe ni aina 6 za bags every woman should own,au kama umeanza kuwa na collection yako ya bags basi na share nanyi hizi types sita .

Enjoy the Article hope you learn and become inspired  sole-society-crossbody-bag

1.Crossbody

The crossbody bag hii ni a must have kwanza wengi siku hizi wanazielewa sana na nyingi zimetengenezwa na mikanda na since ndo ziko on trend you need one or two of these.Hii ni nzuri maana ni rahisi kuibeba hata kama una mizigo kibao tu waweza ibeba mikono ikawa freee ukaendelea kubeba vitu vyako kwa mikono huhitaaji kuishika mikononi.

CROSSscreen-shot-2015-09-02-at-3-09-11-pm

2.Day Clutch

Hii waweza iita a brunch bag waibeba siku zile una enda zako out kwa  muda flani  na huhitaji kubeba extra bag ,unahitaji something casual kuwekea vitu vyako vya maana since hubebi ji begi lingine la siku za kazi au kubwa,unahitaji something simple you can grab and go

DAY CLUTCHmadewell-weekender

3.Weekender

The weekender  ni begi kubwa kubwa hivi na hili you real need one kuendea gym ,grocery shopping ,laweza kuwa diaper bag pia,waweza hata safiria zile trips za siku tatu au nne na unahitaji tu kubeba nguo chache sana.BAGCLUTCH

4.Evening Clutch

Hii ni moja ya ma favourite bags kwasababu tu lazima evening clutch ziwe pretty  unahitaji clutch mbili au tatu tu ambazo zitaendana na nguo zako nyingi za usiku .

EVENING

Hiki cha chini cheusi kizuuuriiii

river-island-clutch

vince-camuto-tote-bag

5.Structured Day Tote Bag

Hili sasa ndo lile begi la kwendea kazini ,waweza nunua kubwa kubwa kama huwa unabeba vitu vingi kama tabets ,laptop,files au papers za kazini.Waweza nunua la medium size kama una simu yako tu ,make ups,magazines etc .Get it in claassic colors kama black,kijivu ,navy blue ili usiwaze swala la kumatch na nguo zao za kazini  .

tote
screen-shot-2015-09-02-at-4-10-41-pm

6.Just for Fun

Hizi zaweza kuwa kwenye shape yoyote ila the fun part ya hizi bags au clutch ni how they stand out unahitaji kweli kibegi kinacho make statement chenyewe .fun2

Mambo ya vitage jisimu la zamani kama clutch i love it in le mutuz voice

fun

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.